visualizaciones de letras 29

Nyumba Ndogo

Zuchu

Letra

    Ooh nkupe taarifa mwenzangu uuh uuh
    Yamenifika kwa koo
    We mwanamke mwenzangu uuh uuh
    Sema ooh oh oh nkupe taarifa mwenzangu uuh uuh
    Yamenifika kwa koo
    We mwanamke mwenzangu uuh uuh
    Bwanako analalamika kila akija nyumbani
    Eti hujui kupika kula kwako hatamani
    Kwangu kalipenda tembele toto lainy lainy
    Shoga umenyimwa upole tajiri wa kisiranii
    Na samahanii samahani
    Mwanzoni sikujitambulisha mimi nanii
    Mie ndo mke mwenzio AKA nyumba ndogo
    Tena nimemganda mumeo kama kichwa na kisogo

    Aah sina ubayaa sina ubaya nawee
    Aah ukinichukiaa wanionea buree
    Ahh sina ubaya sina ubaya nawee
    Mke mwenza ukichukiaa wanionea buree
    Oo sina ubayaa sina ubaya nawee
    Ukinichukiaa wanionea buree

    Nasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
    Mke mwenza unanifaa mie nikiwa mwezini
    Kwangu haiwezekani kwako bwana anakaa
    Mambo kusaidiana wala usihuzunike
    Sikuhizi kusharе mabwana ndo fasheni kwa wanawake
    Eeh jitahidi chunga sana mwеnzangu usiachike

    Aah sina ubayaa sina ubaya nawee
    Aah ukinichukiaaa wanionea buree
    Ahh sina ubaya sina ubaya nawee
    Mke mwenza ukichukiaa wanionea buree
    Oo sina ubayaa sina ubaya nawee
    Ukinichukiaa wanionea buree

    Twendee nache nache nache nache nache
    Huu mchezo wa kichina zungusha kiuno chako
    We kichina zungusha kiuno chako
    Kama shepu huna pambana na hali yako
    Kama huna pambana na hali yako nasema masha zungusha we zungusha
    Sasa wanjara zungusha we zungusha
    Khadija kopa zungusha we zungusha
    Mama dangote zungusha we zungusha mamaa
    Hahahaha

    We kama mzuka umepanda twende mpaka chini
    Eti nani sijamtaja aje acheze na mimi
    Na kama mzuka umepanda twende mpaka chini
    Eti nani sijamtaja aje acheze na mimi
    Twende changamkeni changamkeni changamkeni
    Apo kati changamkeni changamkeni changamkeni
    Na kulia changamkeni changamkeni changamkeni
    Kushoto changamkeni changamkeni changamkeni mama ha

    Twende nache nache nache nache nacheza aah
    Nasema aii mama aii mama
    Aii mama aii mama wee
    Andaa besee andaa besee
    Andaa besee andaa besee twende
    Mama andaa besee andaa besee
    Andaa bese andaa bese twende
    Utajijua mwenyewe utajijua mwenyewe
    Utajijua mwenyewe utajijua mwenyewe


    Comentários

    Envie dúvidas, explicações e curiosidades sobre a letra

    0 / 500

    Faça parte  dessa comunidade 

    Tire dúvidas sobre idiomas, interaja com outros fãs de Zuchu e vá além da letra da música.

    Conheça o Letras Academy

    Enviar para a central de dúvidas?

    Dúvidas enviadas podem receber respostas de professores e alunos da plataforma.

    Fixe este conteúdo com a aula:

    0 / 500


    Opções de seleção

    Las más escuchadas de Zuchu